Serikali inasema sana uongo kuhusu madai ya walimu-Salim(Mbunge wa CUF)

Mbunge wa CUF jimbo la Mtambile Masoud Abdalah Salim amesema serikali inasema sana uongo kwenye malipo ya malimbikizo ya walimu kwa kuwadanganya kuwalipa lakini haiwalipi.Ameendelea kusea kwamba walimu wengi wanapotangaziwa kuongezewa mshahara mara nyingi inaweza kuchukua miaka mpaka miwili tangu inapotangazwa ndipo waone ongezeko hilo.Amesema kwa muda mrefu walimu nchini wamekuwa wakiomba fedha zao za marupuru na areas zao lakini mpaka wengine wanakufa bila kupata madai yao kwa muda mrefu.

Mh.Masoud alikuwa aakijuliza swali la nyongeza katika swali lake la msingi  kwa wizara ya elimu  kuhusu  marupurupu ya na madai ya muda mrefu ya walimu,leo asubuhi bungeni.Hata hivyo spika Anna Makinda alimtaka kufuta neno ‘uongo”.

saalim CUF

Mh.Masoud Abdalah Salim Mbunge wa Mtambile

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s