CUF YASHINDA VIJIJI 5 NA VITONGOJI VITANO UCHAGUZI WA MARUDIO RUFIJI

CUF-Chama cha Wananchi kimejinyakulia jumla ya vijiji 5 na vitongoji 5 kwenye chaguzi za marudio katika wilaya ya Rufiji.Matokeo yaliyotangazwa  rasmi jana  ambapo yalikuwa ni ya uchaguzi wa serikali za vijiji 12 na vitongoji 15.

Katika matokeo hayo matokeo ya  kitongoji 1 yalifutwa  wakati matokeo ya vijiji vitatu yamefutwa baada ya wagombea ya gombea wa CUF kuenguliwa kutokana na mapingamizi mbalimbali yaliyowekwa na vyama pinzani na matokeo kuwa na utata.

Hata hivyo CUF walinyakua vijji vitano,CCM  nane na Chadema vitatu.Kwa upande wa vitongoji CUF wamepata vitongoji vitano ,CCM  tisa ,Chadema hawakuambulia kitu.Hata hivyo  matokeo ya  kitongoji kimoja yalifutwa.

cuf rufiji

Wanachama wa CUF Rufiji wakisherekea baada ya ushindi

Advertisements

2 thoughts on “CUF YASHINDA VIJIJI 5 NA VITONGOJI VITANO UCHAGUZI WA MARUDIO RUFIJI

  1. Hongera kwa ushindi huo. CUF Taifa iandae mpango mkakati wa kuimarisha chama ngazi za vitongoji, vijiji, kata,tarafa, wilaya hadi mikoa na hatimaye taifani ktk kuelekea chaguzi za serikali za mitaa 2014 na ule wa mkuu wa Rais,wabunge na madiwani 2015.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s