Watendaji wa ardhi serikalini ndio chanzo cha migogoro ya ardhi na ujenzi holela-Sakaya CUF

Magdalena Sakaya akihojiwa TBC1

Mbunge wa viti maalumu CUF Mh.Magdalena Sakaya ametanabaisha kwamba Watendaji wa ardhi serikalini ndio chanzo cha migogoro ya ardhi na ujenzi holela  hapa nchi.Mheshimiwa Sakaya ameongeza kuwa watendaji wa ardhi hawafuati sheria na wanakula rushwa kuruhus watu kujenga kiholela.

Sakaya ameyasema hayo leo asubuhi alipokuwa akihojiwa kwenye kipindi cha Jambo TBC1 .Akizungumzia kuendeleza makao makuu ya nchi Dodoma amesema serikali haijaamua kuundelza mji wa Dodoma kwani ramani iliyotengenezwa kwa ajili ya mji wa Dodoma inatumika Nigeria kujenga miji mikubwa ila sisi tumeshindwa.

Akizungumzia shirika la nyumba NHC mh.Sakaya amesema bei za nyumba NHC bado iko juu kiasi kwamba mwananchi hawezi kumudu kununua nyumba ya milioni 25 ama 4o na hii yote ni kwa ajili ya serikali kuweka VAT kubwa kwenye nyumba hizi.

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s