Serikali haijawadhibiti wanaolangua vyakula kwa bei kubwa-Magdalena Sakaya CUF

Mh.Magdalena Sakaya

Katika kuhakikisha mfumuko wa bei wa vyakula unadhibitiwa mbunge wa viti maalumu CUF mkoa wa Tabora Mh.Magdalena Sakaya  ameihoji serikali  namna gani inawadhibiti wafanyabiasghara wanaolangua vyakula mashambani na kuja kuviuza kwa bei kubwa kwenye masoko hali ambayo inachangia mfumuko wa bei.

Magdalena Sakaya alikuwa akiuliza swali la nyongeza  katika kipindi cha maswali na majibu leo asubuhi bungeni kwa Waziri wa Fedha  Dk.Mugimwa swali kuhusu kudhibiti mfumuko wa bei hapa nchini ambapo Waziri Mgimwa alijibu kwa kusema serikali inshughulikia.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s