CUF TANGA KUANDAMANA KUSHINIKIZA SERIKALI KUNUNUA X-RAY

CUF-

CUF TANGA

X RAY MASHINE

Chama cha wananchi kinatarajia kufanya maaandamano  wilayani Tanga  kushinikiza serikali kununua mashine ya X-ray katika hospitali ya Rufaa ya Bombo na kumtaka mkuu wa mkoa wa Tanga,Chiku Gallawa kumuadabisha Mganga mkuu wa hospitali Dk.David Mtatifikolo kwa kushindwa kutafuta ufumbuzi wa tatizo.Kauli hiyo ilitolewa jana na diwani wa kta ya Ngamiani Kati,Habibu mpa  wakati  wa mkutano wahadahra wa CUF.

Advertisements

2 thoughts on “CUF TANGA KUANDAMANA KUSHINIKIZA SERIKALI KUNUNUA X-RAY

  1. hongereni kwa ilo.cuf ndio maana kikaitwa chama cha wanainch cuf.kinawakilisha wanainch komaeni ilo linatakiwa muandamane kwa ajili ya wanainchi.tunawapongeza.msirudi nyuma

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s