CUF KUONGEZA WABUNGE WENGI ZAIDI 2015

Naibu katibu mkuu wa CUF bara Mh.Mtatiro Julius ameweka wazi mpango wa CUF 2015 kwa upande wa idadi ya wabunge ni kuongeza wabunge wengi zaidi kwa upande wa Tanzania bara ili kuongeza nguvu ya CUF bungeni kuhakikisha kwamba CCM hawafurukuti kabisa ili maslahi ya Watanzania.Mh Mtatiro alisema kwamba kwa vile wabunge wengi ni wa CCM wakati wa kupiga kura wao wanashinda hata kama jambo ni la kipuuzi na lisilo na maslahi kwa umma,”kwa hiyo dawa ni kuwang’oa majimboni kwao na kuweka wabunge wa CUF na tumejipanga vilivyo” aliongeza Mtatiro.

Mtatiro aliyaseama hayo juzi jumapili aliupokuwa akihutubia mkutano wa hadhara  Kata ya Makanya Kinondoni ambapo baada ya mkutano huu wananchi walianza kumzungusaha Mh.Mtatiro maeneo mblimbali ya  Kata hiyo kwa mbio za mchakamchaka na hiyo ni baada ya kufungua tawi jipya la Mk

CUF kinondoni

Naibu katibu mkuu wa CUF Bara mh.Mtatiro akifungua tawi jipya

Wanakazi na wanacha mwa CUF Kata ya Ndugumbi wakimsikila Mtatiro

mtatiro CUF
Mtatiro(katikati ya bendera)akiongoza mchakamchaka wa hamasa baada ya mkutano na uzinduzi wa tawi

ombozi lililokuwa likimilikiwana kada wa CCM aliyehamia CUF.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s