Kwa nini nchi iendeshwe bila DIRA ya Mabadiliko-Vision for Change?

VISION FOR CHANGE

Kwa hapa tuliopofikia nchi yetu inashindwa kubdilika kwa vile tunakwenda bila Dira ya Mabadiliko(VISION FOR CHANGE).Mabadiliko tunayataka lakini hatuna Dira na mwongozo wa kuja kwa hayo mabadiliko.Hata hivyo 2010 CUF Chama cha Wananchi ndiyo chama pekee Tanzania kilicho tengeneza DIRA YA MABADILIKO-VISION FOR CHANGE ambayo inaeleza kinagaubaga  watanzania tunataka kwenda wapi na tutafika vipi kwa namna gani na lini.UKIISOMA UTAJUA HII NCHI ,CCM INATUCHELEWESHA KUFIKA TUNAKOTAKA KUFIKA.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s