CUF YATAKA WALIOTENGENEZA DILI LA MISHAHARA HEWA WABAINIKE NA KUADHIBIWA

Mbunge wa CUF- Chama Cha Wananchi Kombo Hamis Kombo ameitaka serikali iwataje Waliotengeneza dili la mishara hewa na waliokula watafutwe na pesa zirudishwe.Mbunge wa Chama cha Wananchi CUF ameitaka wale wote waliohusika na kuwepo kwa mishahra hewa wajukikane na kuchukuliwa hatua kali.Hata hivyo ametaharisha kwamba lazima mamlaka ya Hazina watakuwa wanahusika na kutengeneza mishahara hewa na si kusema kwamba majina ya wafanyakazi hewa yamefutwa kama jinsi serikali ilivyosema.Mh.Kombo Hamis Kombo alikuwa akichangia hotuba ya ofisi ya raisi inayohusu Utekelezaji wa ofisi ya Rais muda mfupi jioni ya leo.

Mbunge wa CUF Kombo Hamis Kombo

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s