WAHUNI WAMEHUJUMU TOVUTI YA CUF…MAFUNDI WANAREKEBISHA

Image

tovuti ya CUF Kabla ya kuhujumiwa

Tovuti ya CUF-Chama cha Wananchi http://www.cuf.or.tz imehujumiwa na wahuni leo mchana kwa kutumia malware ambapo ukifungua inaleta blak page .Hata hivyo kwa baadhi ya INTERNET BROWSER unaweza kwenda chini ya page hiyo na kuklik CONTINUE ANYWAY na itafunguka.Wataalamu wetu wa TEKNOHAMA wakobusy wakishughulikia tatizo hili na wanasema itarudi hewani muda si mrefu.

Taarifa imetolewa na kurugenzi ya Habari CUF

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s