“TATIZO LA UCHUMI WETU UNATUMIKIA SIASA, HAPA NDIPO TULIPOKWAMA”

Leo Katika biunge la jIoni mbunge wa CUF Chama cha wananchi Mh.Haroub Mohamed Shamsa amesema kwamba tatizo la uchumi wetu unatumikia siasa badala ya Siasa kutumikia uchumi na kubsainisha kwamba hapo ndipo nchi,ilipokwama.

Maneno hayo ameyanukuu kutoka  moja ya beti za Wimbo wa Taifa wa CUF-Chama cha wananchi

Image

Bendera ya CUF

“Ni haki sawa kwa watu wote, kuendeleza taifa letu Utajirisho itikadi yetu, tukatae kuonewa. Siasa itumikie, uchumi wa Nchi yetu Ni mwiko huo uchumi, kutumikia siasa”

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s