CUF YAIHOJI SERIKALI UMUHIMU WA MBIO ZA MWENGE.

Kutokana na kile kinacholezewa kwamba mbie za mwenge zimekuwa zikitunmia gharama kubwa kuzikimbiza mbio hizo nchi nzima ilihali hizo fedha za kugharamia mbio za mwenge zingetumika kuhudumia shughuli zingine za maendeleo.

Leo katika kipindi cha maswali kwa waziri mkuu,Mbunge wa CUF-Chama cha wananchi jimbo la Ole Rajab Mbarouk,

Waziri mkuu Pinda akiwasha mwenge iliuanze kukimbizwa nchi nzima

amehoji umuhimu wa kuwepo mbio hizo za mwenge ambazo hukimbizwa kila mwaka.Katika kujibu swali hilo Waziri mkuu alizitetea na kusema zina manufaa ya mshikamano na kuchochea maendeleo.

Mbunge huyo pia alitaahadharisha mbio hizo za mwenge kuongeza maambukizi ya virusi vya ukimwi kwa kuchochea zinaa pale zinapokesha.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s