MPANGO WA MILENIA UNAWEZA USIFIKIE MALENGO 2015-Prof.Lipumba

Image

Prof.Lipumba atahadhrisha mpango wa milenium kufeli

Prof.Lipumba amesema,Hotuba ya bajeti ya 2012/13 pia imeeleza kuwa inazingatia malengo ya maendeleo ya milenia.Hata hivyo waziri hakufanya uchambuzi wa kina kuonesha jinsi sera za bajeti na matumizi ya serikali yanavyotekeleza mikakati ya kufikia malengo ya maendeleo ya milenia,mafanikio yaliyofikiwa,vikwazo vilivyoko na vinavyokabiliwa.

Katika miaka kumi iliyopita ,takwimu za serikali zinaonesha kuwa uchumi umekuwa kwa wastani wa asilimia saba kwa mwaka.Ikiwa idadi ya ya watu inaongezeka kwa wastani wa asilimia 2.9pato la wastani la kilka mwananchilinapaswa kuongezeka kwa wastani wa asilimia 4.1.Ukuaji huu ungeweza kupunguza umaskini umaskini kwa kasi zaidi kuliko iuliovyotokea nas kuifanya Tanzania iweze kufikia malengo ya m ilenia.

Kutopungua kwa umaskini kwa kasi kunaashiria kwamba uchumi wa Tanzania haukui kwa asilimia 7 kwa mwaka kama jtakwimu za serikali zinavyoeleza au wanaofaidika na ukuaji wa uchumi huu ni wachache sana

Prof.Ibrahim Lipumba(mwenyekiti wa CUF) amesema haiwezekani kuwa na msikamano wa wa ukweli wa kitaifa ikiwa ukuaji wa uchumi,unawanufaisha watu wachache na kuwaacha watanzania wengi wakiwa msikini wa kutupwa.Profesa Lipumba ameyasema haya katikaka makala  aliyooandika kwenye ukurasa wa JICHO LA MWANAZUONI katika gazeti la FAHAMU Llitokalo kila Jumanne.Hii ni leo 26/06/2012

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s